: :inin Kyiv (EET)

Viongozi wa kidini wamuunga mkono Maina Njenga


Viongozi wa kidini wamepinga hatua ya kumzuia aliyekuwa mwenyekiti wa kundi la mungiki Maina Njenga kuwania useneta kaunti Laikipia kwa tiketi ya Jubilee.Viongozi hao wanasema wanaotilia shaka maadili yake wanastahili kuwasilisha ushahidi.Wakiongozwa na katibu wa shirikisho la makanisa ya Kievanjilisti James Kamata wanasema wenyeji wa Laikipia wanastahili kupewa fursa ya kuwachagua viongozi wanaotaka.
The post Viongozi wa kidini wamuunga mkono Maina Njenga appeared first on Mediamax Network Limited. …read more

Source: Mediamax Network

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions

Share This

Share this post with your friends!