NA IGAMANYWA LAITON,
NI miaka 102 sasa imepita tangu kijana mdogo wa Kiserbia alipofanya kitendo ambacho laiti angejua madhara yake asingethubutu kufanya. Kama vile baruti inavyoweza kulipua miamba mikubwa ndivyo kitendo chake cha kufyatua risasi mbili kilivyoyaletea mataifa makubwa ya kipindi hicho katika kile kilichoitwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.
Katika makala haya tutaangazia ni jinsi gani, ilitokeaje na je, inaweza kutokea tena leo?
Hebu tujaribu kuangalia mambo yalivyokuwa, Juni 28, 1914 saa 5:15 nchini Serbia mambo yalikuwa si shwari shamra shamra za kumpokea mtawala wa Austarilia ya Hungary, Francis Ferdinand, mtawala huyo alikuwa akiitembelea Serbia taifa lililokuwa chini ya mamlaka yake …read more
Source: Magazetini