: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

   Mabao ya kuvutia zaidi mechi za fainali Ulaya
   May29

   Mabao ya kuvutia zaidi mechi za fainali Ulaya

   JUMAMOSI usiku, staa wa Real Madrid, Gareth Bale alifunga bao ambalo liliwaacha mdomo wazi mashabiki wa soka waliokuwa wakifuatilia pambano la fainali kati ya Real Madrid na Liverpool pale Kiev. Hili linakuwa moja kati ya mabao ya kusisimua ya pambano la fainali za Ulaya. Mengine haya hapa. …read more Source:...

   Picha: Real Madrid walivyosherehekea ubingwa wao wa UEFA Champions League ndani ya jiji la Madrid.
   May28

   Picha: Real Madrid walivyosherehekea ubingwa wao wa UEFA Champions League ndani ya jiji la Madrid.

   Maelfu ya mashabiki wa miamba wa Uhispania Real Madrid walijitokeza katika barabara za jiji kuu la Uhispania Madrid kuwapokea wachezaji wa klabu hiyo waliporejea kutoka Kiev Jumapili.Madrid walishinda Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya tatu mtawalia baada ya kuwalaza Liverpool ya Uingereza 3-1 katika mechi iliyokumbwa na utata kutokana na...

   Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018
   May28

   Mohamed Salah: Nina ‘matumaini makubwa’ ya kucheza Kombe la Dunia Urusi 2018

   Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah amesema ana uhakika wa kuwepo kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kupata majeraha ya bega kwenye mchezo wa fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Real Madrid. Salah, 25, aliondoka uwanjani mjini Kiev akiwa analia baada ya kuchezewa rafu na mlinzi wa Real Madrid Sergio Ramos. ”Upendo wenu...

   MADRID YATWAA UBINGWA UEFA KWA MARA YA TATU MFULULIZO
   May27

   MADRID YATWAA UBINGWA UEFA KWA MARA YA TATU MFULULIZO

   KIEV, Ukraine | REAL Madrid wamefanikiwa kutwaa taji la ubingwa wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya 13 baada ya kuibamiza Liverpool mabao 3-1 katika mchezo wa fainali uliopigwa jana mjini Kiev, Ukraine. Straika wa Madrid, Gareth Bale, aliyeingia kipindi cha pili ndiye aliyeibuka nyota wa mchezo baada ya kutupia nyavuni mabao mawili...

   Wamebeba
   May27

   Wamebeba

   Ndiyo hivyo, Real Madrid wamebeba tena taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya usiku wa jana Jumamosi, kilainii wakajipigia Liverpool 3-1 katika fainali iliyofanyika mjini Kiev, Ukraine. …read more Source:...

   Je, Madrid Wataweza Kuwazuia Liverpool Na Mo Salah?
   May26

   Je, Madrid Wataweza Kuwazuia Liverpool Na Mo Salah?

   Kila mmoja atatarajia mashambulizi makali zaid kutoka Liverpool wakati wa fainali la klabu bingwa Ulaya lakini kile hatufahamu ni jinsi Real Madri itakabiliana na hali hiyo.Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp hana nia ya kubadilsha mbinu za kikosi chake cha 4-3-3 kwenye mechi ya leo Jumamosi na kama kutakuwepo na majeraha inamaanisha kuwa hatakuwa...

   Kuelekea Kiev: Kumbe Real Madrid hawana ubavu kwa Liverpool
   May26

   Kuelekea Kiev: Kumbe Real Madrid hawana ubavu kwa Liverpool

   Kiev, Ukraine. Saa 3:45 usiku wa leo Jumamosi, macho na masikio yataelekezwa katika dimba la NSC Olimpiyskiy au maarufu kama Olympic Stadium, lenye uwezo wa kuingiza watazamaji wapatao 70,000, ingawa Uefa wanasema, watazamaji 63,000 tu ndio watakaoruhusiwa kuingia uwanjani. …read more Source:...

   UEFA Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League: Nani atawika fainali Kiev kati ya Salah, Ronaldo na Milner?
   May25

   UEFA Ligi ya Mabingwa Ulaya Champions League: Nani atawika fainali Kiev kati ya Salah, Ronaldo na Milner?

   Real Madrid wanatafuta ushindi wa 13 na ni wa tatu mfulizo huku Liverpool wakiweza kupanda juu ya Bayern Munich na Barcelona nyuma na AC Milan ikiwa wataibuka washindi huko Kiev. …read more Source:...

   Mashabiki wa Liverpool watinga Kiev
   May25

   Mashabiki wa Liverpool watinga Kiev

   Mashabiki wa Liverpool wameendelea kusafiri umbali mrefu kutoka Uingereza kwenda Kiev. Kwa ajili ya fainali ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Real Madrid, mfano mmoja alikuwa anasema ametumia siku nne akipitia Sweden, kisha anaingia Latvia, anaingia Lithuania kisha Ukraine …read more Source:...

   Ukrainian fan culture in exile
   May24

   Ukrainian fan culture in exile

   The conflict in eastern Ukraine hasn’t been widely reported on in the media recently. However, the fact that the Champions League final in Kyiv focuses attention back on the conflict, and how football fans are coping. …read more Source:...