Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Boris Johnson Federico Gambarini/dpa via AP
BAADHI ya mawaziri waandamizi wanaripotiwa kutaka kuhamisha misaada kutoka katika miradi ‘inayopoteza’fedha barani Afrika na Asia kwenda kwa washirika wa Uingereza huko Ulaya mashariki ili kufaidika na makubaliano ya Brexit.
Maafisa katika ofisi ya Waziri Mkuu huko Downing Street na mawaziri waandamizi wanaamini kuwa sehemu ya bajeti ya serikali ya paundi bilioni 12 kwa ajili ya misaada inapaswa kutumiwa kwa ajili ya kupata uungwaji mkono ili kupata makubaliano mazuri na Brussels, makao makuu ya Umoja wa Ulaya.
Kulingana na gazeti la The Sunday Times, pendekezo hilo litashuhudia fedha za misaada …read more
Source: Magazetini