Section: Magazetini (Tanzania)
Western sanctions and languid Russian economy
Stringent international sanctions imposed on Russia for its role in the Ukraine conflict have sucked the momentum out of the Russian economy over the past couple of years. The nation’s growth prospects remain lethargic. …read more Source:...
Merkel, Putin aim to ease diplomatic tensions in Sochi
Angela Merkel is traveling to the Black Sea coast to talk with Vladimir Putin about Ukraine, Syria and other issues putting a strain on Berlin-Moscow relations. Is the Russian president interested in honest dialogue? …read more Source:...
Mhalifu wa kivita raia wa Austria akamatwa Poland
Raia mmoja wa Austria amekamatwa nchini Poland kwa tuhuma za kufanya uhalifu wa kivita Mashariki mwa Ukraine wakati akiwa anapigana kwa ajili ya serikali ya Ukraine. …read more Source:...
Muhalifu wa kivita raia wa Austria akamatwa Poland
Raia mmoja wa Austria amekamatwa nchini Poland kwa tuhuma za kufanya uhalifu wa kivita Mashariki mwa Ukraine wakati akiwa anapigana kwa ajili ya serikali ya Ukraine. …read more Source:...
Austrian arrested over Ukraine conflict
A 25-year-old Austrian accused of war crimes in Ukraine’s Donetsk region has been arrested by Polish border police while trying to cross into Ukraine. He’d been sought for weeks on a European arrest warrant. …read more Source:...
Baada ya ushindi vs Klitschko, Antony Joshua ameomba pambano lingine
Saa chache tu zimepita tangu kumalizika kwa pambano la ndondi ambapo bondia wa Uingereza Anthony Joshua ameshinda kwa KO vs Klitschko, sasa ametaka pambano dhidi ya bingwa wa zamani wa uzito wa juu Tyson Fury. Katika interview baada ya pambano vs Wladimir Klitschko wa Ukraine lililopigwa Wembley Stadium, London na kushinda kwa KO round ya 11, […]...
VIDEO: Bondia Anthony Joshua alivyoshinda kwa KO vs Wladimir Klitschko
Bondia raia wa England Anthony Joshua usiku wa April 29 2017 aliingia ulingoni katika uwanja wa Wembley kupambana na bondia Wladimir Klitschko wa Ukraine katika pambano la uzito wa juu. Anthony Joshua ambaye alikuwa katika ardhi ya kwao England katika jiji la London, hakutaka kuwaangusha mashabiki wake waliyojitokeza katika uwanja huo kutazama...
Elimu ya kweli, kujielewa, kuielewa jamii, kuujua ulimwengu
HAKUNA jambo la maana la kumpa mwanao kama elimu. Bila shaka hili ninalolisema halina ubishi, hata kwa kuangalia wazazi waliopata mwanga kidogo kuhusu elimu wanavyohaha na watoto katika jitihada za kuwapatia wana wao elimu iliyo bora kabisa ndani ya uwezo wao. Ni kweli kwamba sote tunahangaika ili watoto wetu wapate kile kilicho bora katika...
Joshua vs Klitschko: Pambano tajiri zaidi kuwahi kutokea UK
Jumamosi hii dunia ya masumbwi itasimama kwa muda kuangalia pambano la uzito wa juu kati ya Bondia kinda wa kiiingereza Anthony Joshua dhidi ya mbabe wa Ukraine Vladimir Klitschko.Pambano hili linategemea kuweka rekodi ya kuwa pambano litakaloingiza hela nyingi zaidi katika historia nchini Uingereza – inategemea litatengeneza angalau £50m...
Ukraine, Belarus leaders mark Chernobyl anniversary
The leaders of Ukraine and Belarus have toured the site of the 1986 Chernobyl nuclear accident, marking the 31st anniversary of the disaster. Debate continues over the death toll from radiation poisoning in the region. …read more Source:...