ZIMESHATIMIA siku nne tangu mwaka mpya uanze ingawa kwa muktadha wa kalenda inayotumika zaidi duniani, kama ambavyo hatusherehekei mwaka kwa pamoja kutokana na muda kutofautiana kutokana na eneo husika, lakini pia mustakabali wa dunia umegubikwa na migogoro endelevu iliyovuka mwaka.
Kwamba wanaoishi katika maeneo yenye migogoro mwaka mpya ni mabadiliko tu ya tarakimu, lakini hawana matumaini kimaisha kutokana na kumaliza mwaka kwenye mizozo na kuuanza mwingine katika hali hiyo.
Tukumbuke baadhi ya figisu zilizovuka mwaka zinazotarajiwa kuendelea kwenye baadhi ya maeneo yasiyotarajiwa kuwa na mabadiliko. Tuanzie nchini Marekani ambako hakuna vita lakini ujio wa utawala mpya wa Rais Mteule Donald Trump mnamo …read more
Source: Magazetini