: :inin Kyiv (EET)

Bila kitambulisho cha mpiga kura, hakuna unyumba, mbunge awaambia wanawake


Mishi Mboko, mbunge anayewakilisha wanawake huko Mombasa nchini Kenya.

MOMBASA, KENYA

Mbunge wa upinzani nchini Kenya amewataka wanawake kuanzisha mgomo wa kuwapa wanaume wao unyumba hadi pale wanaume hao watakapokwenda kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Agusti nchini humo.

Mishi Mboko, ambaye ameolewa, alisema wanawake wanapaswa kuwakatalia wanaume wao kufanya mapenzi hadi pale wanaume hao watakapowaonyesha vitambulisho vya kupiga kura.

“Wanawake, kama waume zenu hawajajiandikisha kama wapiga kura, wanyimeni kidogo na umwambia aende kujiandikisha na ndipo arudi na kufurahia mchezo,” alisema.

Mbunge huyo alikuwa akizungumza katika jiji la Mombasa juzi wakati zoezi la kuwaandikisha mamilioni ya wapiga kura wapya kabla ya uchaguzi mkuu baadae …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions