: :inin Kyiv (EET)

Elimu ya kweli, kujielewa, kuielewa jamii, kuujua ulimwengu


HAKUNA jambo la maana la kumpa mwanao kama elimu. Bila shaka hili ninalolisema halina ubishi, hata kwa kuangalia wazazi waliopata mwanga kidogo kuhusu elimu wanavyohaha na watoto katika jitihada za kuwapatia wana wao elimu iliyo bora kabisa ndani ya uwezo wao.

Ni kweli kwamba sote tunahangaika ili watoto wetu wapate kile kilicho bora katika elimu, na tunafanya kila tunaloweza ili lengo hili litimie. Kinachotushinda, na hiki kimetushinda sana, ni kwamba kila familia inahaha kivyake kutafuta njia ya kuandikisha bima ya mustakabali wa watoto wake.

Hali hii haitusaidii sana kama taifa; hali kama hii inawasaidia watoto wa familia moja moja, lakini kama taifa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions