: :inin Kyiv (EET)

#EURO 2016, 16 BORA : ITALY VS SPAIN…MARUDIO YA FAINALI YA MWAKA 2012


Leo ni kama mtoto hatumwi dukani katika michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa wakati miamba miwili ya Italy na Uhispania itakapokuwa ikiumiza nyasi za uwanja wa Stade de France jijini Paris, mchezo utakaofanyika majira ya saa 1 za usiku.
Timu hizi zimeingia katika hatua hii ya 16 bora zikiwa na pointi sawa lakini nafasi tofauti. Italy walimaliza vinara katika kundi lao baada ya kujikusanyia alama sita mbele ya timu za Ubelgiji, Ireland na Sweden wakati Uhispania wameingia baada ya kumaliza nafasi pili nyuma ya Croatia na mbele ya Uturuki na Jamhuri ya Czech.
Katika mchezo wa leo Italy wanaweza kuanzisha wachezaji 10 …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions