: :inin Kyiv (EET)

Fury aahirisha tena pambano; ‘AJ kupewa Wladimir’


MANCHESTER, England
Lakini pambano hilo limeahirishwa kwa mara ya pili na kusababisha kuwepo na shaka kwamba huenda lisiwepo tena.
Huenda Hearn akasimamisha pambano la bingwa wa mkanda wa IBF, Joshua ambalo lilitarajiwa kuchezwa Novemba 26 mwaka huu mjini Manchester dhidi ya Kubrat Pulev, Joseph Parker ama Hughie Fury.
Bosi huyo wa Kampuni ya Matchroom, Hearn ameweka wazi kwamba, Joshua atakuwa na furaja kama atazipiga na Wladimir kutoka Ukraine.
Tayari Hearn amekwishazungumza na meneja wa Klitschko, Bernd Bonte juzi usiku ili kujua kama wanaweza wakawa na pambano hilo.
Fury, ambaye amedaiwa hayuko vizuri kiakili, anaweza akavuliwa ubingwa na WBO na WBA, kisha mikanda hiyo kuwa wazi.
Hearn, …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions