: :inin Kyiv (EET)

Good news mtanzania mwingine anayekwenda kucheza soka Ulaya (+Audio)


Kama unapenda soka la bongo muda wowote kutokea sasa tegemea kusikia good news kutoka kwa mtanzania Hamisi Mroki anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya Kabin United ya daraja la pili Thailand. Baada ya kuitumikia timu hiyo kwa misimu mitatu Hamisi amefanikiwa kumaliza mkataba wake na kupata timu mpya ya daraja la kwanza nchini Ukraine, […]
The post Good news mtanzania mwingine anayekwenda kucheza soka Ulaya (+Audio) appeared first on millardayo.com. …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions