: :inin Kyiv (EET)

HUYU NDIYE ANAYUMBISHA URAIS WA TRUMP


WASHINGTON, MAREKANI

TANGU Novemba 8 alipotangazwa kushinda kiti cha urais wa Marekani, Donald Trump alitajwa kusaidiwa kwa karibu na Serikali ya Urusi. Awali ilikuwa tetesi juu ya uhusiano wa karibu kati ya Trump na Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Mara kadhaa timu ya kampeni ya Trump ilikanusha suala hilo, lakini hali imekuwa ngumu sana. Wananchi wa Marekani wanafahamu fika sasa kulikuwapo na ukaribu baina ya Trump na Putin.

Kulikuwapo ukaribu kati ya maofisa wa kampeni wa Trump na Serikali ya Urusi. Tatizo linalowasumbua wananchi hao ni kitu gani au mambo gani yalikuwa yakizungumzwa baina ya pande hizo mbili mbali ya kushinda uchaguzi wa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions