: :inin Kyiv (EET)

JINAMIZI LENYE SURA MBILI LINAMKABA RAIS OBAMA


KUNA usemi wa mazoea kuwa usingizi ni zoezi la kifo kwani kulala ni sawa na nusu kifo, kwa kuwa huyatambui yanayokuzunguka labda utakachokiona ni ndoto au maono kama umejaliwa karama hiyo.
Lakini pia usingizini kuna mengi zikiwemo ndoto za jinamizi au kuwangiwa na walozi kutegemea na unavyoamini, lakini kuna usingizi usiofumbwa macho kwa matamanio ya kutimia ulichoshindwa kukitimiza licha ya kudhamiria awali.
Anayekabwa na jinamizi huweweseka kwa sauti zisizoeleweka na jinamizi la kisiasa humuwewesesha Rais kupitia hotuba au matamko, hata kama hana uwezo wa kubadili hali iliyopo kwa kuchelewa kutimiza sera zake wakati muda umeshamtupa mkono. Hicho ndicho kinachomkabili Rais Barack Obama …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions