: :inin Kyiv (EET)

KLABU YA CHINA YANASA SAINI YA MBRAZIL ANAYEWANIWA NA LIVERPOOL


Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Shakhtar Donesk ya Ukraine Mbrazil Alex Teixeira ambaye alikuwa anawindwa na Liverpool katika dirisha dogo la mwezi Januari sasa atajiunga na klabu ya Jiangsu Suning ya huko nchini China.
Taarifa zilizothibitishwa na mtandao wa klabu ya Shakhtar Donesk zinasema kuwa Teixeira atajiunga na Jiangsu Suning kwa ada ya Euro milioni 38
Klopp na Liverpool yake kwa sasa hawana nafasi tena ya kumsajili kiungo huyo mshambuliaji ambaye pia anaweza kucheza nafasi ya winga ya kushoto na kulia
Teixeira anaungana na Mbrazili mwenzie Ramires ambaye ametimka Chelsea hivi karibuni na atakuwa chini ya meneja ambaye ni beki wa zamani wa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions