: :inin Kyiv (EET)

Kompany kuikosa Manchester United


LONDON, England
KOCHA wa timu ya Manchester City, Manuel Pellegrini, amethibitisha beki wa timu hiyo, Vicent Kompany, atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na jeraha la goti alilopata kwenye mchezo uliochezwa juzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Dynamo Kiev.
Kompany amekuwa kwenye wakati mgumu msimu huu kutokana na majeruhi ya mara kwa mara baada ya kucheza michezo sita ya Ligi Kuu England.
Ingawa timu hiyo itamkosa mchezaji huyo kwenye michezo ijayo ukiwemo wa Manchester United, tayari imeweza kulinda nafasi yao na kuingia robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kutoka sare ya 0-0 na kufanya …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions