Kiev, Ukraine. Saa 3:45 usiku wa leo Jumamosi, macho na masikio yataelekezwa katika dimba la NSC Olimpiyskiy au maarufu kama Olympic Stadium, lenye uwezo wa kuingiza watazamaji wapatao 70,000, ingawa Uefa wanasema, watazamaji 63,000 tu ndio watakaoruhusiwa kuingia uwanjani. …read more
Source: Magazetini