: :inin Kyiv (EET)

KUTANA NA WATOTO WENYE NGUVU ZAIDI DUNIANI


KILA mtoto ana kipaji tofauti na hukionesha kwa njia tofauti. Wakati baadhi wanaweza kuwa wazuri katika uchoraji, wengine hujikita zaidi katika michezo na wachache wengine wakifanya kweli darasani.

Lakini umewahi kusikia au kuona watoto wakifanya yao katika kunyanyua vitu vizito au kujenga mwili kwa mazoezi makali, ambayo watu wazima wasingethubutu kufanya?

Sawa, pengine uko katika mshangao mkubwa au kiasi! Wafuatao wanahesabika kuwa miongoni mwa watoto wenye nguvu zaidi duniani, ambao watakushtua kwa uwezo na nguvu zao.

1. Giuliano Stroe na Claudiu Stroe

Giuliano Stroe na Claudiu, wenye umri wa miaka tisa na saba bila ubishi ndio watoto wenye nguvu zaidi duniani. Ndugu hawa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions