: :inin Kyiv (EET)

Madrid, Leicester zatinga mtoano UEFA


*Borussia yapiga mtu’ bao 8
LISBON, Ureno
LICHA ya nyota wake Cristiano Ronaldo kushindwa kung’ara dhidi ya timu iliyomkuza nyumbani kwao nchini Ureno, lakini timu yake ya sasa Real Madrid jana usiku iliweza kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 ugenini dhidi ya Sporting Lisbon na kufanikiwa kutinga hatua ya mtoano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya.
Madrid ambao ni mabingwa watetezi, Juventus, pamoja na Leicester City zinaungana na washindi wa pili mwaka jana Atletico Madrid, Arsenal, Paris Saint-Germain, Bayern Munich na Borussia Dortmund, ambazo tayari zilikuwa zimekwishafuzu.
Mabao ya Rafael Varane na Karim Benzema yaliyopatikana kila kipindi kwenye dimba la Estadio Jose Alvalade, yalitosha …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions