Ndege za kivita za Marekani aina ya F-22 ikiruka sambamba na nyingine aina ya F-15.US Air Force
PAMOJA na kupunguzwa kwa bajeti na idadi ya wanajeshi, Marekani imeendelea kuongoza kama nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani, kulingana na ripoti juu ya utandawazi ya Credit Suisse.
Wakati Marekani ikiwa taifa kubwa kwa mbali kijeshi, Urusi na China zinaifuata kwa mbali. Canada, hata hivyo, ndiyo nchi dhaifu zaidi katika nchi 20 katika orodha hiyo.
Credit Suisse inasema kuwa upo ugumu wa kuwaza kupata nguvu halisi ya majeshi hayo kwa ajili ya kufanya ulinganifu. Ili kufanya hivyo, ripoti hiyo inatumia vigezo sita kwa ajili ya …read more
Source: Magazetini