: :inin Kyiv (EET)

Makubaliano ya kusitisha mapigano Mashariki mwa Ukraine yaanza – yatadumu?


Watu wenye silaha, wanaodhaniwa kuwa ni askari ya Urusi, wakiwa katika doria nje ya kambi ya kijeshi ya Ukraine huko Perevalnoye Machi 17, 2014. Makubaliano ya kusitisha mapigano yapo katika hatari ya kuharibika hata kabla haya hayajaanza kutekelezwa.

(CNN)

MAKUBALIANO ya kusitisha mapigano baina ya majeshi ya Ukraine na waasi wanaoungwa mkono na Urusi ambayo yanatarajiwa kuanza kutekelezwa leo yapo hatarini kushindwa hata kabla hayajaanza.

Makubaliano hayo, ambayo yalitangazwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergey Lavrov, ni jitihada za karibuni kabisa za kujaribu kutekeleza makubaliano ya Minsk – makubaliano ambayo yamekuwa yakishindwa mara kwa mara tangu yaanze kutekelezwa kwa sehemu …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions