: :inin Kyiv (EET)

Man City kumalizana na Dynamo Kyiv leo


MANCHESTER, ENGLAND
MASHABIKI wa klabu ya Manchester City leo wanasubiri kwa hamu kuiona timu yao ikiingia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Leo klabu hiyo itakuwa kwenye Uwanja wa Etihad na kuwakaribisha wapinzani wao Daynamo Kyiv, huku City ikiwa na uhakika wa kusonga mbele.
Kutokana na ubora wa Man City ni wazi kwamba ina kazi ndogo sana leo hii kutokana na ubora wao na timu ambayo wanakutana nayo huku wakiwa nyumbani.
Mchezo wa awali City ilifanikiwa kutoa kichapo kwa Dynamo Kyiv cha mabao 3-1, hivyo katika mchezo wa leo wanahitaji ushindi au sare ya aina yoyote kuweza kusonga mbele, wakati huo …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions