: :inin Kyiv (EET)

MARCO VERRATTI KIUNGO HATARI ALIYEISAMBARATISHA BARCELONA KIPENZI CHA XAVI


NA MOHAMED KASSARA NA MITANDAO,
USIKU wa Siku ya Wapendano, yaani Februari 14, mwaka huu, kiungo wa timu ya Paris Saint German (PSG), Marco Verratti, alifanikiwa kuivuruga safu ya kiungo ya Barcelona katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya uliozikutanisha timu hizo.
Mwisho wa siku, PSG iliibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 katika Uwanja wa Parc de Princes, jijini Paris, Ufaransa.
Kiungo huyo aliwathibitishia wapenzi wa soka duniani kote maneno ya kiungo zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, aliyoyasema mwaka 2015 kuwa Verratti ni mmoja kati ya viungo bora kabisa duniani kwa sasa.
Xavi alisema kuwa, Verratti ni kiungo wa daraja la juu kuwahi …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions