: :inin Kyiv (EET)

Marekani yapeleka ndege za F-35 Uingereza


(CNN)

NDEGE mpya na za kisasa za Jeshi la Anga la Marekani zimewasili nchini Uingereza mwisho wa wiki hii kama sehemu ya kutoa hakikisho kwa washirika wa barani Ulaya, katika wakati ambao Urusi imekuwa ikitunisha misuli barani humo.

Ndege za F-35A kutoka katika kambi ya jeshi la anga ya Hill huko Utah nchini Marekani zilitua katika uwanja wa ndege wa Lakenheath wa jeshi la anga la Uingereza juzi Jumamosi katika kile ambacho jeshi la anga la Marekani lilikiita kuwa ni wiki kadhaa za mazoezi na wanajeshi kutoka ushirika wa NATO.

“Sisi pamoja na washirika wetu katika mradi wa F-35 ni muhimu tufanye mazoezi …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions