Mashabiki wa Liverpool wameendelea kusafiri umbali mrefu kutoka Uingereza kwenda Kiev. Kwa ajili ya fainali ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Real Madrid, mfano mmoja alikuwa anasema ametumia siku nne akipitia Sweden, kisha anaingia Latvia, anaingia Lithuania kisha Ukraine …read more
Source: Magazetini