: :inin Kyiv (EET)

MASTAA WA UJERUMANI WASHINDWA KUTAMBA MBELE YA POLAND


Ujerumani na Poland wamecheza kwa mara ya kwanza mchezo uliomalizika kwa sare ya bila kufungana baada ya mchezo wao wa Euro 2016 kumalizika huku kila timu ikiwa imeshindwa kupata bao katika kupambana kufuzu hatua ya mtoano utoka kwenye makundi.
Timu zote sasa zinapointi 4 huku zikiwa zimesaliwa na mechi moja mkononi ambao unawezeza kuwahakikishia kufuzu kwa hatua inayofuata huku Switzerland iliyo nafasi ya tatu ikiwa na pointi tatu ikitegemea matokeo mengine hata kama itashinda mchezo wake wa mwisho.
Striker wa Poland Arkadiusz Milik alipoteza nafasi nafasi ya wazi kuifungia timu yake sekunde chache baada ya kuanza kipindi cha pili, mpira wa kichwa …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions