: :inin Kyiv (EET)

Mohamed Salah: Sistahili kulinganishwa na Ronaldo


Mshambuliaji wa majogoo wa jiji Liverpool Mohamed Salah Ghaly, amewataka mashabiki wa soka duniani, kutomshindanisha na Cristiano Ronaldo, kuelekea mchezo wa fainali wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.Liverpool ilifanikiwa kukata tiketi ya kucheza fainali ya ligi ya mabingwa barani Ulaya usiku wa kuamkia leo, licha ya kufungwa mabao manne kwa mawili dhidi ya AS Roma, na kuifuata Real Madrid ambayo ilitangulia kwenye mchezo huo kwa kuifunga FC Bayern Munich.Salah, ambaye amefunga mabao 43 katika michuano yote aliocheza msimu huu, amesema mchezo wa fainali utakua kati ya Liverpool na Real Madrid na hauwezi kuwa kati yake na Cristiano Ronaldo.Amesema anafahamu wakati …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions