: :inin Kyiv (EET)

MOURINHO JEURI LAKINI PESA INAONGEA BWANA


MANCHESTER, England
HIVI karibuni, Kocha wa Chelsea, Antonio Conte, aliongeza mkataba wa kuendelea kuinoa timu hiyo na sasa atakuwa akiingiza pauni milioni 9.6 kwa mwaka.
Lakini pia, Conte anaonekana kujiimarisha zaidi kiuchumi, kwani tayari ametajwa kukubali kufanya kazi na kampuni ya MN2S.
Kampuni hiyo, yenye maskani yake jijini London, itakuwa ikihusika katika kumtafutia Conte matangazo na dili nyingine zitakazomuingizia mpunga mrefu Muitalia huyo.
Hata hivyo, hiyo haimfanyi Conte kufikia mapato ya kocha anayesifika kwa kauli zake za maudhi, Jose Mourinho Special One’. Mreno huyo ni habari nyingine kabisa linapokuja suala la kutengeneza mpunga.
Huku Conte akiwa amechagua kufanya kazi na MN2S, ambayo ndiyo inayowasimamia pia …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions