MASHARIKI ya kati ni eneo ambalo limekuwa likikumbwa na migogoro ya kisiasa inayofanya vyombo vya habari sehemu mbalimbali duniani kutokukosa cha kuripoti kila uchao. Lakini habari ambayo imekuwa haikauki katika masikio yetu kuhusu mashariki ya kati ni mapigano, hususani tangu kuibuka kwa matukio ya kigaidi mwanzoni mwaka 2000 na kuendelea ambapo mlengwa mkuu alikuwa Marekani na washirika wake. Matukio hayo, kama ambavyo imekuwa ikiripotiwa, yalikuwa yakipangwa na kutekelezwa na magaidi ambao kwa namna moja ama nyingine wanapata misaada kutoka ama mataifa au mashirika mbalimbali duniani.
Kuibuka kwa matukio ya kigaidi duniani kumesababisha hata baadhi ya watawala wa nchi …read more
Source: Magazetini