: :inin Kyiv (EET)

NDIDI ANAONDOKA GENK, SAMATTA ATAFUATA


Na MARKUS MPANGALA

NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, yupo katika kona nzuri ya kuibuka mchezaji wa kipekee kutoka Tanzania kutamba barani Ulaya. Samatta anakipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, ambayo imewahi kuwatoa mastaa mbalimbali wanaokipiga kwenye vilabu tofauti katika ligi mashuhuri.
Miongoni mwao ni Christian Benteke, ambaye aliichezea Genk, kisha kwenda Aston Villa na baadaye kusajiliwa na Brendan Rodgers alipokuwa kocha wa Liverpool ya England. Nasema Samatta yupo katika eneo zuri la kutamba kisoka.
Kwanza Samata ameshatamba barani Afrika na kwamba tayari amekuwa na wasifu mzuri. Kwamba ametwaa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho. Ametwaa tuzo ya mchezaji bora …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions