: :inin Kyiv (EET)

NIONAVYO MIMI: CONTE MAN OF THE MATCH ITALY VS BELGIUM, MBINU ZAKE ZILIWAVURUGA HAZARD NA NDUGUZE


Hadi sasa ushindi mnono kwenye mashindano ya Euro ni wa mabao 2-0, mabingwa mara 4 wa kombe la dunia Italy pamoja na Ujerumani ndiyo timu pekee ambazo zimepata ushindi huo dhidi ya mataifa ya Belgium na Ukraine.
Anyways wacha nirejee kwenye mchezo wa jana usiku (Belgium vs Italy) ufundi wa kimbinu wa hali ya juu kutoka kwa Antonio Conte ulisaidia kuwafanya wachezaji wakali wa Belgium waonekane wa kawaida, mfumo 3:3:4 ulikilazimisha kikosi cha Marc Wilmots kushindwa kutekeleza majukumu yao.
Mabeki wawili wa pembeni wa Azzuri (Matteo Damian & Antonio Candreva) muda mwingi walikuwa wanatanua na kushambulia kupitia pembeni kitu ambacho kiliwalazimu viungo …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions