: :inin Kyiv (EET)

PICHA 10: MASHABIKI WA UJERUMANI HUWAAMBII KITU KUELEKEA MECHI DHIDI YA UKRAINE


Mashabiki wa timu ya taifa ya Ujerumani wameujaza mji Lille wakisubiri kushuhudia pambano kati ya timu yao ya Ujerumani dhidi ya Ukraine mchezo utakaosukumwa kwenye uwanja wa Stade Pierre Mauroy.
Tayari nipo hapa kwenye mitaa ya jiji la Lille saizi nikiwa nazunguka hapa na pale nikisubiri muda uwadie ili niweze kuingia uwanjani kwa ajili ya kushuhudia mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu.
Mashabiki wa Ujerumani wamaamini kwamba, timu yao itafanya vizuri kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kundi C katika harakati za kuisaka ndoo ya Euro.
Hapa nimekuwekea picha 10 za washkaji wa Ujerumani wakiwa kwenye mishemishe na pilika za nje ya dimba huku …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions