: :inin Kyiv (EET)

Pogba kuweka rekodi viungo ghali wa muda wote


MAREGES NYAMAKA NA MITANDAO,
UHAMISHO wa kiungo wa Juventus anayetikisa kwenye vyombo vya habari ulimwenguni kwa hivi sasa, Paul Pogba, mwenye uwezo wa kucheza kwa kiwango cha juu kama kiungo mkabaji na kiungo mshambuliaji kwa wakati tofauti, iwapo utakamilika kwenda Manchester United utamfanya kuingia kwenye rekodi nyingine mbili matata barani Ulaya.
Uhamisho huo unaotajwa kuweka rekodi ya dau la aina yake, ukipiku dau la uhamisho wa Gareth Bale wa Real Madrid, unaoshikilia rekodi ya dunia kwa hivi sasa, utamfanya pia kuvunja rekodi ya Mfaransa mwenzake, Zinedine Zidane, aliyesajiliwa na Real Madrid kwa pauni milioni 46.
Viungo wingine waliosajiliwa kwa dau kubwa ni …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions