: :inin Kyiv (EET)

REKODI HII YA REAL MADRID INATUACHIA HAYA MASWALI


NA NIHZRATH NTANI JNR,
MNAMO Novemba 20, 1975, General Franco alikuwa anaaga dunia akiwa na umri wa miaka 82. Mwili wa mtu huyu umelala pembezoni mwa kanisa la ‘Valle de Los Caidos’, ndani ya hifadhi ya Siera de Guadarrama. Ni katika ardhi iliyopo katika manispaa ya San Lorenzo, kilomita chache kutoka ulipo mji mkuu wa Madrid.
Miaka mitatu baada ya kifo cha Generali Franco, mwanaume mwingine aliyeitwa Santiago Bernabeu Yeste, alikuwa anaaga dunia mnamo Julai 2, 1978.
Huyu pia, alifariki bado angali madarakani akiwa na umri wa miaka 82 kama ilivyokuwa kwa Franco.
Watu hawa wawili walikuwa marafiki wakubwa. Msingi wa mafanikio ya Real …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions