VITA ya dunia siyo jambo geni miongoni mwetu kwa kuwa hii ni aina ya vita inayojumuisha mataifa mengi duniani kwa wakati mmoja, hasa yale mataifa yenye nguvu kubwa za kijeshi na kiuchumi. Hadi sasa tumekwisha shuhudia vita kuu mbili za dunia, japo wengi tumeshuhudia kwa kuhadithiwa au kusoma kwenye vitabu. Vita ya kwanza ni ile iliyoanza Julai 28, mwaka 1914 na kumalizika Novemba 11, 1918 na kusababisha kusainiwa makubaliano maalumu ya Versailles (Versailles treaty) ili kumaliza kabisa vita hiyo. Katika vita hii zaidi ya maisha ya watu takribani milioni 17 yalipotea.
Kuna sababu kuu nne zilizosababisha kuibuka kwa …read more
Source: Magazetini