: :inin Kyiv (EET)

TETESI ZA USAJILI ULAYA: Real Madrid yaachana na De Gea yaenda kwa Mbrazili-


Mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus, mwenye umri wa miaka 20, amekataa malipo ya £90,000- kutoka kwa viongozi wa Ligi ya Primia na wale wa Brazil na hivyo watalazimika kusubiri hadi msimu wa majira ya joto kujadili mkataba mpya . (Mail) Manchester City wanammezea mate mchezaji wa kiungo cha kati wa timu ya Uhispania ya Real Madrid Isco, mwenye umri wa miaka 25 ambaye wanataka kumnunua £75m msimu wa majira ya joto . (Sun)Mlinzi wa Chelsea raia wa Uhispania Marcos Alonso, mwenye umri wa miaka 27, anasema bado hajafikiria kuondoka the Blues huku kukiwa na uvumi juu ya hatma yake …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions