: :inin Kyiv (EET)

TIMU BORA YA HATUA YA MAKUNDI EURO 2016


Na Naseem Kajuna
Hatua ya makundi ya Euro 2016 sasa imekwisha na timu 16 pekee zimebaki kwenye mashindano. Timu ya Wales ilishangaza wengi pale ilipoongoza kundi lake hasa ukizingatia kwamba hii ilikuwa michuano yao ya kwanza ya Euro. Croatia nao walizidi kupata nguvu kadri michuano ilivyoendelea walicheza mechi nzuri zaidi kwenye michuano hii walipompiga bingwa mtetezi Spain 2-1
Wenyeji France, mabingwa wa Dunia Ujerumani na Italy nao waliongoza makundi yao na kufuzu kwenda hatua nyingine, pia Hungary waliweza kufanya hivyohivyo.
Tutazame timu bora ya hatua ya makundi Euro 2016.
GOLIKIPA
Michael McGovern
Wengi hawakumtambua mchezaji huyu kuelekea kwenye hii michuano ila aliweza kuona nyota yake …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions