: :inin Kyiv (EET)

UEFA imeanza na moto


MADRID, Hispania
LIGI ya Mabingwa Ulaya msimu huu imeanza kutimua vumbi wiki hii, huku miamba mbalimbali ya bara hilo la Ulaya ikitoa dozi za hali ya juu.
Barcelona walitoa kipigo cha mabao 7-0 kwa Celtic, huku nyota wao, Lionel Messi, akipiga ‘hat-trick’ kwenye mechi ya kwanza ya michuano hiyo iliyochezwa juzi Jumanne.
Baada ya ‘hat-trick’ hiyo ya Messi, nyota mwenzake wa Argentina anayekipiga Manchester City, Sergio Aguero, naye alipiga ‘hat-trick’, wakishinda mabao 4-0 dhidi ya Borussia Monchengladbach. Naye Cristiano Ronaldo aliisaidia Real Madrid kutoka nyuma ya bao 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Sporting Lisbon, huku Juventus wakitoka sare ya 0-0 dhidi ya …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions