: :inin Kyiv (EET)

Urusi kuiweka mtegoni Tanzania


Na Markus Mpangala
NAMTUMBO ni moja kati ya Wilaya tano za Mkoa wa Ruvuma. Kwa mujibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, ni Sheria Na. 7 ya mwaka 1982 iliwezesha kuanzishwa kwa Halmashauri ya Namtumbo ikiwa na eneo la kilometa za mraba 20, 375. Wilaya nyingine za mkoa huo ni Tunduru, Songea, Mbinga na Nyasa.
Aidha, kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 wilaya ya Namtumbo ina jumla ya watu 201,639. Ukiacha wilaya hiyo tuje katika Kijiji cha Dar Pori kilichoko Wilaya ya Mbinga katika mkoa huo huo wa Ruvuma. Kijiji hicho kina wakazi takribani 6,000 na kipo kilomita …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions