: :inin Kyiv (EET)

Urusi yajitoa ICC


Moscow, UrusiVladimir Putin ametoa amri kwa Urusi kujitoa rasmi katika mkatabawa Roma ulioanzisha mahakama ya kimataifa ya makosa ya kivita ya ICC. Picha: Mikhail Metzel/TASS

Urusi imesema kwamba inaondoa rasmi saini yake kutoka kwenye sheria inayounda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC, siku moja baada ya mahakama hiyo kuchapisha ripoti inayokishutumu kitendo cha nchi hiyo kutwaa eneo la Crimea nchini Ukraine kuwa ni cha kimabavu.

Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imetoa tangazo siku ya Jumatano kwa amri ya Rais Vladimir Putin, ikisema kwamba mahakama hiyo imeshindwa kufikia matazamio ya jumuiya ya kimataifa na kushutumu kazi za mahakama …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions