: :inin Kyiv (EET)

USICHUKULIE POA CELTA VIGO DHIDI YA MAN UNITED


Vigo, Hispania
MARA zote Ligi ya Europa imekuwa ikipuuzwa, wakati mwingine ni kweli kutokana na timu zinazoshiriki ila kwa Celta Vigo na Manchester United, jumlisha Lyon na Ajax kucheza nusu fainali hii si ya kuchukulia poa, hasa ukizingatia bingwa atapitia mlango wa uwani na kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao.
Hakuna timu ambayo itakubali kupoteza nafasi hiyo kirahisi baada ya safari ndefu kama waliyopitia Celta Vigo, wakitokea Kundi G ambako walishika nafasi ya pili nyuma ya Ajax juu ya Standard Liege na Panathinaikos, kabla ya kuwatoa Shakhtar Donetsk, Krasnodar na Genk.
Nao Man United wanaonolewa na kocha Jose Mourinho, walimaliza nafasi ya …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions