: :inin Kyiv (EET)

VAN DIJK: NIACHIENI RONALDO J’MOSI


MERSEYSIDE, England

BEKI kisiki wa Liverpool, Virgil van Dijk, amewatoa hofu mashabiki wa Liverpool wanaomuota Cristiano Ronaldo kuelekea mtanange wa fainali, akiwaambia wasiwaze, kwani ‘atadili’ naye.
Liver na mabingwa hao watetezi, Madrid, watamalizana Jumamosi ya wiki hii, mchezo utakaochezwa mjini Kiev, Ukraine, ambao utaamua litakakokwenda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Katika mahojiano yake na kituo cha televisheni cha LFCTV, Mholanzi huyo alisema atatembea na Ronaldo kwa dakika zote 90 au zaidi za mechi hiyo.
“(Ronaldo) amekuwa akifunga mabao mengi kwa miaka michache iliyopita na hakuna ubishi kuwa ni mtu hatari.
“Lakini natakiwa kutembea naye kama timu yangu itakavyokuwa ikienda sambamba na wachezaji wengine …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions