: :inin Kyiv (EET)

VIBABU VYA IRELAND NA VIMBAUMBAU WA UTURUKI: TAKWIMU ZOTE KALI ZA EURO 2016 HIZI HAPA!


Na Eusebius Paul
Asalam Aleykum iwe ni salamu yangu ya upendo na heri njema kwa wataalamu wangu wote mnaopenda kupata habari na takwimu bomba za kimichezo.
Msimu wa soka la kitabu na magoli yanayofanyiwa homework kabla ya mechi kuanza ndio umewadia.
EURO20 16 ndio michuano pekee inayotupatia ladha halisi ya soka la kileo zaidi ya michuano yoyote ile Ulimwenguni. Kabumbu lenye misingi ya academy, uchambuzi wa kila takwimu ya timu pinzani, na uweledi wa juu kabisa katika kuunganisha teknolojia sambamba na ufundi uwanjani.
Hili ndiyo soka la kisasa, ndiyo maana haishangazi kuona katika mechi tatu fainali za kombe la Dunia zilizopita, timu tano(5) zikitokea …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions