: :inin Kyiv (EET)

Video: GOLI LA KUJIFUNGA LA NORTHERN IRELAND LAIPELEKA WALES ROBO FAINALI EURO 2016


Wales wametinga hatua ya robo fainali ya Euro 2016 kwa goli la kujifunga la Gareth McAuley wakati wa mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Ireland ya Kaskazini.
Ireland ya Kaskazini waliwadhibiti wapinzani wao kwa mchezo wao wa kujilinda huku wakifanikiwa kupiga mashuti mawili pekee yaliyo lenga goli katika kipindi cha kwanza.
Lakini safu yao ya ulinzi iliruhusu bao pale beki wao wa kati McAuley alipojifunga wakati akitaka krosi ya Gareth Bale.
Kikosi cha Chris Coleman kilidhibitiwa vema na timu ambayo ilikuwa haipewi nafasi kubwa dhidi yao, lakini ushindi wa goli moja unamaana kubwa mbele ya mashabiki wao.
Kupoteza kwa Ireland ya Kaskazini …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions