: :inin Kyiv (EET)

Vita baridi baina ya Urusi na nchi za Magharibu yaibuka upya


Kirkenes, Norway (CNN)

KIFARU cha Jeshi la Wanamaji wa Marekani, US Marines kinavunja ukimya wa msitu na barafu, huko kaskazini zaidi ya mstari wa Aktiki, huku ndege zisizoendeshwa na rubani (drones) zikiwa zinazunguka juu na moshi wa njano na kijani ukisambaa kwenye hewa yenye baridi kali.

Wanaelekea wapi? Kwenye handaki mbele zaidi, likiwa limekaliwa na wanajeshi wa Norway, nchi mshirika wa karibu wa Marekani na mwanachama wa Umoja wa Kujihami wa Magharibi, NATO. Milipuko inavuma pande zotei wakati kifaru hicho kikisonga mbele, katika barafu ambayo imetanda chini ya mawingu ya majira ya baridi.

Hii ni sehemu ya mazoezi ya kivita, lakini yanafanyika katika …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions