: :inin Kyiv (EET)

Wababe wanavyozungumzia kuchaguliwa kwa Trump


WAKATI Rais-mteule wa Marekani, Donald Trump, anaandaa timu ya watumishi itakayoingia katika Ikulu ya nchi hiyo mwezi Januari mwakani, vigogo katika maeneo mbalimbali duniani wanajiandaa kwa mabadiliko yao binafsi, hasa kuhusu uhusiano na rais ajaye wa Marekani.

Ni akina nani ambao wako tayari kufanya kazi na Trump? Ni viongozi wale ambao kwa sehemu kubwa ni wababe. Shirika la Habari la Marekani la ABC linatazama matamshi ya hivi karibuni ya viongozi hao, kuanzia kwa Rais wa Syria Bashar al-Assad hadi kwa Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte.Rais wa Syria, Bashar Assad, akiapishwa kwa ajili ya muhula wake wa tatu wa miaka saba, …read more

Source: Magazetini

World press about Ukraine

This website is created to observe information about Ukraine in the world media. More information about press.uaposition.com you can read here

World press category: terms & conditions