Section: Magazetini (Tanzania)
Russian President Putin to travel to Berlin for talks over Ukraine crisis
German Chancellor Angela Merkel is due to convene the leaders of Russia, Ukraine and France in Berlin to talk about the Ukraine conflict. The summit will address the implementation of the Minsk Accords. …read more Source:...
Joshua na Klitschko wakubaliana kuzipiga
Bondia wa Uingereza Anthony Joshua na bondia wa Ukraine Wladmir Klitschko wamekubali kupigana huku tangazo la pigano hilo likitarajiwa kufanywa katika siku chache zijaz …read more Source:...
Russia moves nuclear missiles onto NATO’s doorstep
Moscow has said that the Iskander-M missiles were transported to Kaliningrad for a military drill. Lithuania’s Foreign Minister has said the move seeks to pressure the West into making concessions over Syria and Ukraine. …read more Source:...
BALOTELLI, SHETANI WA LIVERPOOL, MALAIKA WA NICE
NA HALID MTUMBUKA Palermo ni moja kati ya sehemu zinazovutia mboni za macho ya mwanadamu yeyote yule anayependa utalii. Sehemu hii ipo nchini Italia na sifa zake ni pamoja na utamaduni wake, majengo yake, sehemu za starehe na inatajwa kwamba sanaa kama muziki ni moja kati ya viburudisho vya watu waishio sehemu hiyo. Ni moja kati ya sehemu...
Dutch city celebrates return of five stolen masterpieces
Five Golden Age masterpieces recovered from a “criminal gang” in Ukraine have returned to the Dutch city of Hoorn. The paintings were among the 24 works of art stolen from the city’s museum in 2005. …read more Source:...
Wanasayansi wa Urusi wasema Crimea inahama na ‘kuelekea Urusi’
Wanasayansi kutoka nchini Urusi wanasema eneo la Crimea ambalo limekuwa likizozaniwa linasonga kila mwaka kuelekea Urusi. …read more Source:...
Arsene Wenger aikataa timu ya taifa England
KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger LONDON, ENGLAND KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger, ameweka wazi kuwa hana mpango wa kutaka kuifundisha timu ya taifa ya England (Three Lions), akichukua nafasi ya Sam Allardyce, ambaye amefungashiwa virago. Chama cha Soka nchini England (FA), kwa sasa kinahangaika kutafuta kocha ambaye atachukua...
Babyn Yar: Germany remembers victims
President Joachim Gauck has visited Babyn Yar, a 1941 Nazi massacre site in Ukraine, saying generations later Germany will continue owning up to its past. More than 33,000 Jews were murdered in a ravine outside Kyiv. …read more Source:...
Nafasi ya Urusi kuhusu siasa za Mashariki ya Kati
MASHARIKI ya kati ni eneo ambalo limekuwa likikumbwa na migogoro ya kisiasa inayofanya vyombo vya habari sehemu mbalimbali duniani kutokukosa cha kuripoti kila uchao. Lakini habari ambayo imekuwa haikauki katika masikio yetu kuhusu mashariki ya kati ni mapigano, hususani tangu kuibuka kwa matukio ya kigaidi mwanzoni mwaka 2000 na kuendelea ambapo...
Babyn Yar: Ukraine’s dark anniversary
Ukrainian officials have organized several events to mark the anniversary of the Babyn Yar massacres. Seventy-five years ago, Nazi forces rounded up and shot around 34,000 Jewish residents of Kyiv. David Stern reports. …read more Source:...