: :inin Kyiv (EET)

Section: Magazetini (Tanzania)

      Manchester City watua robofainali UEFA
      Mar16

      Manchester City watua robofainali UEFA

      Manchester City wamefika robofainali Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sare na Dynamo Kiev mechi ya marudiano. …read more Source:...

      MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI
      Mar16

      MAN CITY YATINGA ROBO FAINALI ULAYA NA KUWEKA REKODI

      Manchester City wamefanikiwa kufuzu kucheza robo fainali ya michuano ya Champions League kwa mara ya kwanza licha ya kutoka sulusu kwenye mchezo wao wa marudiano dhidi ya Dynamo Kiev jana usiku. City ilishinda kwa bao 3-1 kwenye mchezo wa awali, walianza vyema mchezo huo lakini wakajikuta wakiwakosa walinzi wao nguzo wa kati Vincent Kompany na...

      Advocacy Groups: Sanctions, Arms Embargo, Tribunal Needed for S. Sudan
      Mar15

      Advocacy Groups: Sanctions, Arms Embargo, Tribunal Needed for S. Sudan

      War crimes, including killings, systematic rape, and forced disappearances remain daily occurrences in South Sudan, as highlighted in reports this month from the United Nations, Amnesty International and Human Rights Watch. Some advocacy groups say sanctions and other targeted measures could make an impact where a peace deal has failed. The...

      Manchester City kukabili Kiev UEFA
      Mar15

      Manchester City kukabili Kiev UEFA

      Michuano ya klabu bingwa barani Ulaya inatarajia kuendelea tena leo Jumanne kwa Michezo Miwili. …read more Source:...

      Man City kumalizana na Dynamo Kyiv leo
      Mar15

      Man City kumalizana na Dynamo Kyiv leo

      MANCHESTER, ENGLAND MASHABIKI wa klabu ya Manchester City leo wanasubiri kwa hamu kuiona timu yao ikiingia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Leo klabu hiyo itakuwa kwenye Uwanja wa Etihad na kuwakaribisha wapinzani wao Daynamo Kyiv, huku City ikiwa na uhakika wa kusonga mbele. Kutokana na ubora wa Man City ni wazi kwamba ina kazi...

      Champions League: Messi, Aguero, Griezmann na Dybala wanaziwinda rekodi hizi ulaya.
      Mar15

      Champions League: Messi, Aguero, Griezmann na Dybala wanaziwinda rekodi hizi ulaya.

      Usiku wa michuano ya UEFA Champions League unarejea tena leo usiku na kesho jumatano, katika kukamilisha ratiba ya raundi ya 16 bora na kuamua ni timu zipi zitaungana na Real Madrid, Benfica, PSG na Wolfsburg katika hatua ya robo fainali ya UCL. Je Lionel Messi atafanikiwa kuifunga Arsenal na kuweka rekodi mpya ya magoli tangu alipoanza kucheza...

      Kenya yawekwa katika darubini na IAAF
      Mar12

      Kenya yawekwa katika darubini na IAAF

      Mkutano wa kamati kuu ya shirikisho la mchezo wa riadha duniani IAAF ambayo imekuwa ikikutana mjini Monaco imetangaza kuwa Kenya na Ukraine ni miongoni mwa nchi ambazo zimewekwa katika orodha ya mataifa ambayo yanachunguzwa …read more Source:...

      France: threat of EU sanctions will help Libya form government
      Mar11

      France: threat of EU sanctions will help Libya form government

      French Foreign Minister Jean-Marc Ayrault has called for sanctions to be put on any Libyan official holding up plans for a unity government. A UN-backed deal to merge two rival administrations has, so far, failed. …read more Source:...

      Rubani wa Ukraine aanza kunywa vimiminika baada ya mgomo
      Mar10

      Rubani wa Ukraine aanza kunywa vimiminika baada ya mgomo

      Rubani wa Ukraine, Nadiya Savchenko, ameanza kunywa vimiminika kwa mujibu wa mwanasheria wake. …read more Source:...

      Zlatan Ibrahimovic Ana Sababu Kuu Mbili za Kuifunga Chelsea Usiku huu na Kuiongoza PSG kwenda kutwaa ubingwa
      Mar09

      Zlatan Ibrahimovic Ana Sababu Kuu Mbili za Kuifunga Chelsea Usiku huu na Kuiongoza PSG kwenda kutwaa ubingwa

      Baada ya Real Madrid na Wolfsburg kusonga mbele na kutinga robo fainali jana usiku, leo vilabu vya Zenit, Benfica, Chelsea na Paris Saint Germain vitakuwa vinawania nafasi ya kufuzu na kuungana na Los Blancos na Wolfsburg. Mechi ambayo itateka hisia za wadau wengi wa soka duniani ni Chelsea ambao wanaikaribisha PSG pale Stamford Bridge. PSG...