Section: Tanzania
Chancellor Merkel and President Trump discuss conflicts, importance of NATO
In a telephone discussion, the leaders of Germany and the US discussed conflicts in the Middle East and Ukraine, relations with Russia and the importance of NATO. Trump had spoken earlier with President Putin. …read more Source:...
MAMILIONI YA WACHINA YANAVYOWATEGA KINA ROONEY, DIEGO COSTA
LONDON, ENGLAND UNAWEZA kusema Wachina wameleta mambo. Unajua kwanini? Kwa miaka ya hivi karibuni ligi kuu ya soka nchini China imekuwa gumzo. Ligi hiyo imekuwa gumzo kutokana na fedha nyingi zinazotumika kujenga timu zao. Zamani tulikuwa tukiona wachezaji wanaokwenda kucheza soka nchini China ni wale waliochoka lakini siku za karibuni mambo...
WORLD VIEW : Putin meets President Trump
The great flaw in ex-president Barack Obama’s record was his policy towards Russia. Going against everything he had said and written about before he became president, one action after another antagonised the Russians- his early proclamation that he wanted Georgia and Ukraine in Nato, his de facto coalition of convenience for a crucial...
WORLD VIEW : Putin meets President Trump
The great flaw in ex-president Barack Obama’s record was his policy towards Russia. Going against everything he had said and written about before he became president, one action after another antagonised the Russians- his early proclamation that he wanted Georgia and Ukraine in Nato, his de facto coalition of convenience for a crucial couple of...
Mtoto azaliwa kutoka kwa wazazi tasa
Mtoto mmoja amezaliwa kutoka kwa wazazi walio tasa nchini Ukraine kwa kutumia mbegu za watu watatu …read more Source:...
Bila kitambulisho cha mpiga kura, hakuna unyumba, mbunge awaambia wanawake
Mishi Mboko, mbunge anayewakilisha wanawake huko Mombasa nchini Kenya. MOMBASA, KENYA Mbunge wa upinzani nchini Kenya amewataka wanawake kuanzisha mgomo wa kuwapa wanaume wao unyumba hadi pale wanaume hao watakapokwenda kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Agusti nchini humo. Mishi Mboko, ambaye ameolewa, alisema wanawake wanapaswa...
KWAHERI BARACK OBAMA LAKINI…
NA MARKUS MPANGALA, ZIMESALIA siku nne tu Rais wa Marekani, Barack Obama, kung’atuka madarakani. Rais huyo anatarajia kumkabidhi Ikulu ya Marekani Rais mteule, Donald Trump, Ijumaa wiki ijayo. Kabla ya tukio hilo kufanyika hivi karibuni Rais Obama alitoa hotuba ya kuaga taifa hilo akiwa mjini Chicago, nchini humo. Kama kawaida yake,...
Majeshi yenye nguvu zaidi duniani kwa sasa
Ndege za kivita za Marekani aina ya F-22 ikiruka sambamba na nyingine aina ya F-15.US Air Force PAMOJA na kupunguzwa kwa bajeti na idadi ya wanajeshi, Marekani imeendelea kuongoza kama nchi yenye jeshi lenye nguvu zaidi duniani, kulingana na ripoti juu ya utandawazi ya Credit Suisse. Wakati Marekani ikiwa taifa kubwa kwa mbali kijeshi, Urusi na...
Ukraine threatens to blacklist France’s Le Pen over Crimea remarks
Kyiv has warned French presidential hopeful Marine Le Pen of consequences for undermining Ukraine’s “sovereignty and territorial integrity.” The far-right leader claimed Crimean citizens “wanted to join Russia.” …read more Source:...
2017: DUNIA BADO INAKABILIWA NA MIGOGORO SUGU
ZIMESHATIMIA siku nne tangu mwaka mpya uanze ingawa kwa muktadha wa kalenda inayotumika zaidi duniani, kama ambavyo hatusherehekei mwaka kwa pamoja kutokana na muda kutofautiana kutokana na eneo husika, lakini pia mustakabali wa dunia umegubikwa na migogoro endelevu iliyovuka mwaka. Kwamba wanaoishi katika maeneo yenye migogoro mwaka mpya ni...