: :inin Kyiv (EET)

Section: Tanzania

NDIDI ANAONDOKA GENK, SAMATTA ATAFUATA
Jan01

NDIDI ANAONDOKA GENK, SAMATTA ATAFUATA

Na MARKUS MPANGALA NAHODHA wa Taifa Stars, Mbwana Samatta, yupo katika kona nzuri ya kuibuka mchezaji wa kipekee kutoka Tanzania kutamba barani Ulaya. Samatta anakipiga katika klabu ya Genk ya Ubelgiji, ambayo imewahi kuwatoa mastaa mbalimbali wanaokipiga kwenye vilabu tofauti katika ligi mashuhuri. Miongoni mwao ni Christian Benteke, ambaye...

UKISTAAJABU  YA FURY UTAYAONA YA CHEKA
Dec31

UKISTAAJABU YA FURY UTAYAONA YA CHEKA

Na MARTIN MAZUGWA OKTOBA 29, 2016, macho na masikio ya wapenzi wa mchezo wa masumbwi yalikuwa yakisubiri kwa hamu kushuhudia pambano kali na la aina yake baina ya mabingwa wawili wa uzito wa juu duniani, Mwingereza Tyson Fury dhidi ya raia wa Ukraine, Wladimir Klitchko. Wawili hao walitarajiwa kupanda ulingoni kuwania mikanda ya WBA pamoja na...

JINAMIZI LENYE SURA MBILI LINAMKABA RAIS OBAMA
Dec28

JINAMIZI LENYE SURA MBILI LINAMKABA RAIS OBAMA

KUNA usemi wa mazoea kuwa usingizi ni zoezi la kifo kwani kulala ni sawa na nusu kifo, kwa kuwa huyatambui yanayokuzunguka labda utakachokiona ni ndoto au maono kama umejaliwa karama hiyo. Lakini pia usingizini kuna mengi zikiwemo ndoto za jinamizi au kuwangiwa na walozi kutegemea na unavyoamini, lakini kuna usingizi usiofumbwa macho kwa...

Israel yasitisha kufanya kazi na mataifa yaliyopiga kura dhidi yake
Dec27

Israel yasitisha kufanya kazi na mataifa yaliyopiga kura dhidi yake

Makazi ya walowezi ya Maale Adumin yanayotazama kijiji cha Wapalestina katika ukanda wa Magharibi.TEL AVIV, ISRAEL WAZIRI Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa amri kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo kupunguza mahusiano ya kikazi na balozi za wanachama 12 wa Baraza la Usalama ambao walipiga kura kuunga mkono azimio la makazi ya Ukanda wa...

NETANYAHU AFUTA SAFARI YA KIONGOZI WA UKRAINE
Dec26

NETANYAHU AFUTA SAFARI YA KIONGOZI WA UKRAINE

WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu TEL AVIV, ISRAEL WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amefuta ziara ya mwenzake wa Ukraine baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kupiga kura kuamua ujenzi wa makazi ya walowezi wa Kiyahudi katika Ukingo wa Magharibi usitishwe. Waziri Mkuu wa Ukraine, Volodymyr Groysman, alikuwa...

Violence surges in eastern Ukraine amid reports of Russian involvement
Dec22

Violence surges in eastern Ukraine amid reports of Russian involvement

The OSCE has reported nearly 3,000 explosions near the contact line, marking a notable increase in ceasefire violations. A new investigative report revealed Russian artillery attacks in 2014, undermining Moscow’s claims. …read more Source:...

Report links Kremlin cyber unit to Ukraine conflict and US election hacking
Dec22

Report links Kremlin cyber unit to Ukraine conflict and US election hacking

The hack into a Ukraine military app has reinforced claims the cyber unit known as “Fancy Bear” has a direct Kremlin link. It also reinforces US intelligence reports linking the Kremlin to cyber attacks in the US. …read more Source:...

HISTORIA YA UWANJA UTAKAOCHEZEWA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Dec19

HISTORIA YA UWANJA UTAKAOCHEZEWA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA

Cardiff, Wales PAMOJA na kuwepo kwa viwanja vingi vya kwenye mataifa mbalimbali, lakini Uwanja wa Millennium uliopo mjini Cardiff nchini Wales, ambao utachezewa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Juni 3 mwakani una historia ya kipekee sana. Upo kwenye ziwa Taff katikati ya mji wa Cardiff. Uwanja huo umekuwa kivutio kikubwa kutokana na eneo uliopo...

Ukraine nationalizes its largest bank, PrivatBank
Dec19

Ukraine nationalizes its largest bank, PrivatBank

Ukraine has nationalized its biggest bank in order to avoid a financial meltdown. PrivatBank had been plagued by rumors that it was heavily burdened by serious debts. …read more Source:...

Russia, Brexit and Aleppo loom over year-end EU summit
Dec15

Russia, Brexit and Aleppo loom over year-end EU summit

EU leaders are facing a “minefield” of crises in their final Brussels summit of 2016. Leaders appear split on extending sanctions against Russia, approving a Ukraine deal, responses to Aleppo and Brexit negotiations. …read more Source:...